Mkoa wa Mbeya uwe workshop ya Elimu nchini

Mitihani hii Bado Naamini haiko fair siku zote, Imagine una shindanisha wanafunzi kwa mtihani mmoja, ambao wamesoma mazingira tifauti, na access za material Ni tofauti, huduma ya ufundishwaji tofauti, upatikanaji wa mahitaji ya kimwili na kishule tofauti, level ya speed of understanding tofauti, etc etc.

Not all graves contains corpses of those who deserved to be there, but those who were doomed to die.
 
... taja jina la shule, mwaka, na interview ya kuingia darasa/kidato gani?
 
... wakati shule za serikali humchukua mwanafunzi wa F1 mwaka mzima kujua mwalimu "anaongea nini" (tatizo kubwa mno), za private wengi wanaopenya ni kutoka English mediums hivyo lugha sio issue from day one; inasadia kuongeza ufaulu kwani lugha sio kikwazo kwao.
 
Una maanisha hiz div one ni tia maji tia maji?
 
Title yako nilitegemea iwe SHULE ZA KIKATOLIKI/SEMINARY ziwe WORKSHOP ya Elimu nchini.
Wakatoliki wamewekeza sana kwenye elimu!! Shule zao ziko fit sana top ten nimeona Maua seminary na hiyo st.fransis na nyingine kama tatu,,,lkn hata wanafunzi waliofanya vzr kwenye shule zingine ambazo si za kikatoliki ni watoto wa kikatoliki pia,,,tukubali tukatae katoliki ni zaidi ya tuijuavyo!!! Tufike wakati tukubali
 
ustake kupambisha mada kisa unatoka mbeya, kwanini isiwe kilimanjaro, mwanza au daressalaam?
 

..ukimchukua mtoto wa kijijini ukamchanganya na hao wa english medium ktk shule ya BWENI haitachukua muda mrefu huyo wa kijijini kuanza kubonga kizungu.
 
Ulokole wapi na wapi? Umesikia hiyo shule ni nabii au mtume???

Pia unafahamu kuwa 99.9% ya wanafunzi hapo wanatoka nje ya mbeya
 
Shule yoyote ikijichagulia wanafunz inayowahtaj inapga one zote
Uzoefu wangu, hizi shule huwa haziruhusu mtoto anayepata chini ya B. Mara nyingi hufanya mbinu za kuwahamishia shule nyingine wenye matokeo ya kidato cha pili ya chini, na hapa nina maana wameshinda lakini siyo diision 1 & 2. Pia hizo shule, wakati wa kufunga huwa wale wanaotegemea kufanya mitihani ya for 4, wanabaki shuleni wakipata tuition kali, kitu ambacho shule za serkali hazifanyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…