Mkoa wa Morogoro ni kama vile umekuwa ukitudisha kimtindo

Pendaelli

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
13,075
Reaction score
38,625
Ajali ya alie kuwa waziri Mkuu sokoine ambaye alitazamiwa kuwa kiongozi mkubwa ambaye angebadilisha sana Tanzania


Picha ya alie kuwa rais w Tanzania hayati John Magufuli akizindua kiwanda cha ngozi pale morogoro


Wote wajaliwe kupumzika kwa amani
 

Hapa kama mtu hakuwahi pata jumla ya hata C mbili A na O level hawezi elewa kamwe.
 
Mkoa hauna kosa ni mambo tu yalipangwa na kutokea katika ardhi mfano hicho kifo Cha sokoine, ila mzee wa chato hapo sijaelewa morogoro inahusikaje
 
Jau Sana Morogoro
Ingawa Ni Eneo La Kimkakati Kwenye Nyanja Tele
Ulinzi
Kilimo
Miundo Msingi
Maji

Viungo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…