Mkoa wa pwani na viunga vyake

Joined
Mar 7, 2013
Posts
12
Reaction score
29
Wadau naomba kufahamu hivi mbali na kisarawe kukaliwa na wazaramo na baadaye kumpokea mgeni wa kijerumani na kumuuguza hadi akapona na baadaye kutaka kutawala wenyeji au bagamoyo iliyokaliwa na jamii za kiutawala kadha wa kadha hivi ni maeneo yapi mengine yana historia hai sasa?

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Ulisha wahi sikia kuhusu boma la utete? Chemchem ya maji moto? Nk... Mkuranga/kibiti meli ya mjerumani, je muhoro na waarab wake? Nambunju mbwara na habari za majimaji war?

Boss mafia na mafiadha? Mnala wa kuongozea meli na historian kibao ktk kisiwa cha mafia...

Mambo ni mengi kilimani huko ikwiriri rufiji na waarabu wa kilimani etc...

Maafisa utamaduni watawaeleza zaidi pita ktk kila wilaya watakueleza uzuri
 
Shukurani sana,
Hapa nimepata mwangaza mkuu.

Nitaanza ziara za wilaya hadi wilaya ili nifanikishe hayo
 
Wilaya ya kisarawe nimefika na team yangu tukaembelea
Pango la popo
Msitu wa Pugu
Kijiji cha sanze
Kaburi la muingereza na
Kufahamu chanzo cha kifo cha chifu kibasila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…