Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Mkoa wa Rukwa ni miongoni mwa Mikoa kongwe hapa nchini, tena ukiwa muhimu sana hasa kwa uzalishaji wa chakula.
Pamoja na hayo, kwa miaka yote hiyo Mkoa huu haukubahatika kuwa na usafiri wa anga wa uhakika, kutoka na kutokuwa na Uwanja wa Ndege unaokidhi vigezo.
Ni Rais wa Awamu ya Sita Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye amefanya mapinduzi ya kiuchumi katika Mkoa huo, kwa kujenga Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga ambao uko katika hatua za mwisho kukamilika.
#Kurasa365ZaMamaVol4.