Mkoa wa Tabora wapokea vitambulisho vya Mjasiriamali 69,000, mkuu wa mkoa asema vitaisha vyote

Mkoa wa Tabora wapokea vitambulisho vya Mjasiriamali 69,000, mkuu wa mkoa asema vitaisha vyote

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mkuu wa mkoa wa Tabora amesema mkoa wake umepokea vitambulisho vya mjasiriamali 69,000 na ameahidi vyote vitachukuliwa na wajasiriamali.

RC amesema mwaka juzi walipewa vitambulisho 71,000 vikaisha vyote wakawa wa kwanza kitaifa na mwaka jana walipokea vitambulisho 65,000 vikaisha wakawa tena wa kwanza na mwaka huu ana uhakika watakuwa wa kwanza tena.

Source: Channel ten

My take; Huo mtihani anaachiwa RC mpya mh Happi
 
Hivi si tayari vina watu kabisa? si walisema watu wajaze form ili vitoke vyenye picha yao kabisa? Au mambo yakoje?
 
Back
Top Bottom