LGE2024 Mkoa wa Tanga pekee ndio umevuka lengo la Uandikishaji Wapiga kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kuandikisha 101.13%

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Tusizungukezunguke mkoa wa Tanga upewe Maua yake

Kuna tofauti Kubwa Kati ya Kuvuka Lengo na Kuvunja Rekodi

Tanga wamevuka lengo kwa kuandikisha 101.13%

Mikoa ya Pwani, DSM, Mwanza na Dodoma Wamevunja Rekodi zao tu lakini wameandikisha Chini ya 100%

Tuwapongeze akina Makamba jr, Ummy, MwanaFA, Chatanda, Retired wa Jf nk kwa mafanikio hayo makubwa

Rip Mzee Mohamed Kibao
 
Unavunja rekord kwa idadi ya kupika?!
 
Tusizungukezunguke mkoa wa Tanga upewe Maua yake

Kuna tofauti Kubwa Kati ya Kuvuka Lengo na Kuvunja Rekodi

Tanga wamevuka lengo kwa kuandikisha 101.13%

Mikoa ya Pwani, DSM, Mwanza na Dodoma Wamevunja Rekodi zao tu lakini wameandikisha Chini ya 100%

Tuwapongeze akina Makamba jr, Ummy, MwanaFA, Chatanda, Retired wa Jf nk kwa mafanikio hayo makubwa

Rip Mzee Mohamed Kibao
Sifa za kijinga, wameandikisha hadi wafu
 
Tusizungukezunguke mkoa wa Tanga upewe Maua yake

Kuna tofauti Kubwa Kati ya Kuvuka Lengo na Kuvunja Rekodi

Tanga wamevuka lengo kwa kuandikisha 101.13%

Mikoa ya Pwani, DSM, Mwanza na Dodoma Wamevunja Rekodi zao tu lakini wameandikisha Chini ya 100%

Tuwapongeze akina Makamba jr, Ummy, MwanaFA, Chatanda, Retired wa Jf nk kwa mafanikio hayo makubwa

Rip Mzee Mohamed Kibao

Lengo lilikuwa lipi?
 
Weka list hapa, umeandika kama vile unaongea mwenyewe
 
Hiyo ndiyo mikoa wale wenye malengo ya kuchukua Kura Kwa nafasi ya Rais wanatakiwa kuizungukia mwakani.

Hapo inaonesha ukiuza sera kidogo wepesi kuunga Mkono

Homa ya Uchaguzi 2025 loading....
 
Back
Top Bottom