johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unavunja rekord kwa idadi ya kupika?!Tusizungukezunguke mkoa wa Tanga upewe Maua yake
Kuna tofauti Kubwa Kati ya Kuvuka Lengo na Kuvunja Rekodi
Tanga wamevuka lengo kwa kuandikisha 101.13%
Mikoa ya Pwani, DSM, Mwanza na Dodoma Wamevunja Rekodi zao tu lakini wameandikisha Chini ya 100%
Tuwapongeze akina Makamba jr, Ummy, MwanaFA, Chatanda, Retired wa Jf nk kwa mafanikio hayo makubwa
Rip Mzee Mohamed Kibao
Sifa za kijinga, wameandikisha hadi wafuTusizungukezunguke mkoa wa Tanga upewe Maua yake
Kuna tofauti Kubwa Kati ya Kuvuka Lengo na Kuvunja Rekodi
Tanga wamevuka lengo kwa kuandikisha 101.13%
Mikoa ya Pwani, DSM, Mwanza na Dodoma Wamevunja Rekodi zao tu lakini wameandikisha Chini ya 100%
Tuwapongeze akina Makamba jr, Ummy, MwanaFA, Chatanda, Retired wa Jf nk kwa mafanikio hayo makubwa
Rip Mzee Mohamed Kibao
Sema unachotaka kusema! TunakusikilizaTanga wamevuka lengo kwa kuandikisha 101.13%
Ni kuwapongeza tuSema unachotaka kusema! Tunakusikiliza
Tusizungukezunguke mkoa wa Tanga upewe Maua yake
Kuna tofauti Kubwa Kati ya Kuvuka Lengo na Kuvunja Rekodi
Tanga wamevuka lengo kwa kuandikisha 101.13%
Mikoa ya Pwani, DSM, Mwanza na Dodoma Wamevunja Rekodi zao tu lakini wameandikisha Chini ya 100%
Tuwapongeze akina Makamba jr, Ummy, MwanaFA, Chatanda, Retired wa Jf nk kwa mafanikio hayo makubwa
Rip Mzee Mohamed Kibao
Weka list hapa, umeandika kama vile unaongea mwenyeweTusizungukezunguke mkoa wa Tanga upewe Maua yake
Kuna tofauti Kubwa Kati ya Kuvuka Lengo na Kuvunja Rekodi
Tanga wamevuka lengo kwa kuandikisha 101.13%
Mikoa ya Pwani, DSM, Mwanza na Dodoma Wamevunja Rekodi zao tu lakini wameandikisha Chini ya 100%
Tuwapongeze akina Makamba jr, Ummy, MwanaFA, Chatanda, Retired wa Jf nk kwa mafanikio hayo makubwa
Rip Mzee Mohamed Kibao
Ni utapeli tupuUnavunja rekord kwa idadi ya kupika?!
Tuandikie unachotaka kusikia nyie musukule ya mzee MboweWeka list hapa, umeandika kama vile unaongea mwenyewe
Muulize LemaLengo lilikuwa lipi?
Ndio mpuuzi Mdude kakutuma?Ni utapeli tupu
Dada angu mbona umepanic? kuomba orodha kamili ni vibaya?Tuandikie unachotaka kusikia nyie musukule ya mzee Mbowe
Hatari sn dada anguNdio mpuuzi Mdude kakutuma?
Kwani mrema wa chadema anasemaje?Unavunja rekord kwa idadi ya kupika?!
Itaachaje kuwa hatari pale unapoishi kwa ndoto tena za mzee aliechoka(Mbowe)Hatari sn dada angu
UWT mnafanya vyema snItaachaje kuwa hatari pale unapoishi kwa ndoto tena za mzee aliechoka(Mbowe)
100%Lengo lilikuwa lipi?
Huko Rombo mmeiba Register na kuchoma moto ofisi, warombo mna Akili za kizamani sana 😂Weka list hapa, umeandika kama vile unaongea mwenyewe