Habari wakuu kuna ndugu yangu anatatizo la kutotoka mkojo ipasavyo anapokwenda kukojoa,mkojo wake unakuwa hauna nguvu unapotoka hata akibanwa vipi na mkojo akenda kukojoa haauna speed kabisa unatoka pole pole je ,mnaweza kunambia tatizo lake nini? Nashukuru.