Mkuu achana na hao mabweg.e. Kama walivokushauri wadau kunywa maji kwa wingi. Afu kama unapiga ulabu kama mimi basi ujue ulabu nao huchangia kumwaga kojo la njano.
poa mkuu ila chui chui muhimu siunajua tunapambana na malaria...tung kidogo tu siunajua ...too much uses is harmful.... but thnk nimeanza kufanyia kaz ushaur wa wengi changaes naziona ...THNKX JF japo inachafuliwa na baadhi ya mamburula wao kaz yao kuropoka tu.