Mkojo: Uchavuzi au Rasilimali.

Indume Yene

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
2,962
Reaction score
721
Kwa wale wanaopenda kukojoa misituni, ziwani or somewhere, imegundulika kuwa mkojo wa binadamu una uswezo wa kutumika katika magari mbalimbali.

Tafadhali msikubali kupoteza huo utajiri huko porini, angalia hiyo picha hapo chini ndipo utagundua kuwa lisemwalo lipo.

Attachments

  • KOJOZ.bmp
    KOJOZ.bmp
    465 KB · Views: 210
  • Kojoa.jpg
    38 KB · Views: 170
kwa hiyo mkuu gari lako unaweka kojo badala ya wese?? hahaha nadhani itakuwa imekupasa kuweka tanki la lita kadhaa bar ya jirani ili uweze kuvuna maliasili hii nyeti
 
kwa hiyo mkuu gari lako unaweka kojo badala ya wese?? hahaha nadhani itakuwa imekupasa kuweka tanki la lita kadhaa bar ya jirani ili uweze kuvuna maliasili hii nyeti

Akichuali Kojo langu pekee ndo linakubalika kwenye gari yangu, niliifanyia modifikesheni......aaaahha...aaaaahhhaaa ....aaaaaahhaa 🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…