SubiriJibu
JF-Expert Member
- Jun 26, 2009
- 1,805
- 1,876
Nauliza kwa sababu hakuna hata mmoja wetu mwenye utaalamu wa kupima mkojo na kujua kilichomo. Hivyo, matokeo ya mtaalamu wa mkojo ndiyo ya mwisho.
Sasa kama hujui jambo linapimwaje basi maana yake usubiri kudra za mpima mkojo.
Je, mnakojoa watu wawil yaani wewe na anayekupima? Maana hiyo inaweza kuleta mantiki. Yaani wewe utakojoa kwenye test tube A yeye anakojoa kwenye test tube B.
Halafu hamuondoki wote, kila hatua wote mnaona. Kama kipimo ni kijiko kimoja cha sukari (mfano wa chemical) basi kitumbukiwe kwenye mikojo yote miwili yaani wa mpimaji na wa wa kwako, tena ikibidi na wote waliokupeleka.
Kama chemical inaubadilisha mkojo kuwa wa blue kwa mtumia madawa basi uambiwe kila hatua na mkojo wako tu ndiyo uonekane blue na wa wengine uonekane colourless.
Ikiwa hivyo kwa kweli nadhani itakuwa ni haki maana sioni au sijui ni njia gani nyingine ya kuthibitisha na kulinganisha.
Maana mpima mkojo akila njama maana yake anaweza kusema matokeo kwamba unatumia madawa ili mradi kumridhisha anayekushitaki.
Msiane kujibu kwa kutukana na kama ni kutukana nianze kujitukana kwamba mimi nakiri ni mjinga kuhusu hili maana sijui mkojo huwa unapimwaje.
Kule hospitali huwa napeleka mkojo au kinyeshi lakini huwa sihangaiki kwa sababu huwa nataa kupona kama nina ugonjwa. Lakini kwenye ukimwi baadhi wameshafika hatua ya kukuambia changes za blood sample inayoreact na baadhi wanajua.
Lakini hili la mkojo naomba wenye uelewa watusaidie, je huwa inakuwaje? Je, unakojoa tu halafu unaondoka kusubiri matokeo?
Saidia uelewa?
NOTE:
Moderator, Nawasihi sana msiihamishe hii mada eti kwa sababu si ya jukwaa la wanasiasa, kupimwa mkoja na uanasiasa siku hizi vina uhusiano mkubwa.