Mkojo wa njano

loving

Senior Member
Joined
Aug 27, 2012
Posts
137
Reaction score
34
Ni matumaini mpo salama
Kwa muda wa wiki 2 sasa nimekuwa nikikojoa Mkojo wa njano sanaaaa. Nikinywa maji mengi unjano unapungua kwa muda tu then Unarudi.

Jf doctors, tatizo hili linasababishwa na nini?
Ni nini Tiba yake?
 
Hakuna tiba hapo, mkojo ukiwa njano sana inaashiria una upungufu wa maji mwilini, na ndio maana ukinywa maji unjano unapungua, ukinywa sana maji nayo ni hatari, kunywa kiasi kwa siku, madaktari au wataalam watakuja kutujulisha zaidi..
 
Mimi siyo Daktari lakini jaribu kupima Sukari kwenye mkojo na damu,na UTI.
 
Hakuna tiba hapo, mkojo ukiwa njano sana inaashiria una upungufu wa maji mwilini, na ndio maana ukinywa maji unjano unapungua, ukinywa sana maji nayo ni hatari, kunywa kiasi kwa siku, madaktari au wataalam watakuja kutujulisha zaidi..

Asante kwa ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…