Mkojo wangu hausafishiki, bado una rangi ya orange

Mkojo wangu hausafishiki, bado una rangi ya orange

Monomer

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2023
Posts
214
Reaction score
358
Kwa muda mrefu sasa nimejalibu kunywa maji mengi kiasi Cha Lita 3 kwa siku ili kupata matokeo mazuri lakini mkojo Bado mi wa orange,mkojo utakua mweupe kwa siku hiyo japo sio sana lakini kesho yake utarudi hali ya mwanzo.

Sijui pengine itakua ni UTI ambayo nimekua nikitibia sasa na mke wangu ambae anadai anawashwa ukeni tatizo ambalo tumezunguka hospital mara kibao lakini haponi,dawa mbali mbali amekua akipewa lakini haponi kwahivyo naombeni ushauri wa kitalaam jmforums madokta juu ya huu mkojo wangu.N.B nikikojoa siwashwi Wala sina muwasho wa aina yoyote kwenye uume au kwenye urethra.
 
mkuu usichoke matumizi ya kunywa maji mengi yanasaidia sana
 
Chemsha majani ya mpera unywe kikombe kimoja kutwa mara tatu
 
Kuna jamaa huwa namuona maji yake ya kunywa anaweka na malimao ,anadai inasaidia.Jaribu.
 
Back
Top Bottom