Kuna watu hapa JF wanawakilisha wanamtandao ndio maana utawaona ni vigeugeu, wanauma na kupuliza, wako pande zote kama Act, Zitto, Chaumma.Kuna wanajukwaa humu hawana misimamo hasa huyu wa kujiita sijui mkokamoto nakadharika,
Miezi kadhaa nyuma alisapoti mama samia pale kati akasapoti chadema soon akafuata upepo na Mpina sahivi eti anadai nchi inahitaji wazalendo kama Polepole which is which sasa? Rubbish kabisa.
Nawasilisha🙏
Nb: Majina yaliyotajwa ni ya kutungwa😃
Hii ni hatari sana!! Wengi humu jf ni ndumila kuwili take care😎Kuna watu hapa JF wanawakilisha wanamtandao ndio maana utawaona ni vigeugeu, wanauma na kupuliza, wako pande zote kama Act, Zitto, Chaumma.
Lengo lao ni kudhoofisha juhudi za ukweli za kulikomboa hili taifa kutoka kwa wanamtandao kwa kuwachanganya watu watoke kwenye mstari na story zilizo na ukweli kidogo na uongo mwingi kama Shetani anavyofanya.