Mkoko mpya wa Agnes Masogange

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Huu ndo mkoko mpya wa video queen maarufu apa bongo, Agnes masogange, mengine muachie baba na mama..
 

Attachments

  • 1394302393484.jpg
    86.6 KB · Views: 5,327
  • 1394302417110.jpg
    63.1 KB · Views: 4,964
  • 1394302432853.jpg
    53.3 KB · Views: 4,794
Sembe jamani!!!hili la ngapi kumilikiii muda tutasikia hana gari
 
Hongera Agnes kumiliki mkoko goooood
 
hivi gari ndio kila kitu kwa wanawake?

hivi ni nani aliyewaroga ninyi akina dada wa mjini?

kwanini hao wanaume wanaowahonga msiwalambe pesa za maana mkapata mtaji wa biashara nzuri hapa jijini?

Gari isiyozalisha, unayo tuu unailisha wewe japo hatukatai kuwa na usafiri binafsi, changamkeni bana,

fursa hizi za wanaume wanaowapenda bila ninyi kuwapenda, zitumieni vizuri!!!

msibweteke................
 
Mimi nilifikiri angeonyesha cheti cha kuhitimu angalau shahada au stashahada yoyote hata ya chuo cha ma------,kesho utasikia gari limechukuliwa na mwenyewe yule kigogo wa ikulu sijui anaitwa Clement
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…