Mkoko mpya wa Agnes Masogange

mtoa mada onesha evidence ya hilo gari kumilikiwa na masogange
 
Nasikia ukiwa na one million unapewa goli moja hapo kwenye kabang...mwenye updates juu ya hilo atujuze.....!

aisee hiyo ya zamani mbona..sasa hivi ni 1.8milion..kwa kabang tu
 
Agnes ni msafirishaji wa mizigo...mwaka jana alisafirisha dawa za pumu kutoka Dar kwenda S.A nadhan ndo imemwingizia hela za kununua huo mkoko...kwa ufafanuzi zaid muulize Mwakyembe

Yaani hapo ndio nilipomvulia kofia mwakyembe,mbwembwe zoote zile hatimaye sembe ikageuka dawa za pumu,ptyuuuuuu!!!
 
wapi iyo picha na gari na masogange vimeonyesha any relationship, onyesha kadi ya gari kuonyesha ni yake au japo hata akisimama kwa apo karibu!!!
 
wapi iyo picha na gari na masogange vimeonyesha any relationship, onyesha kadi ya gari kuonyesha ni yake au japo hata akisimama kwa apo karibu!!!

Ndo wale wale kasor majina
 
huyu si ndio anafanya kazi ya kutoa mbwa wakali kwa wazungu kwa madiba au sie yeye
 
Nyiw mnawivu. Uchumi mmekalia mnashadadia mafanikio na jitihada alizotumia kufufua uchumi ipasavyo.

Mtoto mtamu, mavi tele.
 
Hiyo gari model 2007 kodi yake 13.9 mil na gari yanyewe price kama 14000$ hadi kufika mkononi mwake ni 40mil hivi. Swali ni je kapataje hizo hela za kununua hilo gari wakati twajua kabisa hana kazi inayotambulika
 
Hivi huyu dada si ana uraia wa S Africa? Maana kuna kipindi walisema kabadili uraia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…