Mkombe Luxury bus

Kakondele

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
238
Reaction score
214
Mkombe Luxury Safari ya kwenda South Africa[emoji1221][emoji1221] Johannesburg kutoka Dar [emoji1241][emoji1241] ni tarehe 06/01 wahi tiketi yako mapema kwa tzsh 400,000/= au Rand 3000/=
Vinavyotakiwa
Passport
Yellow fever certificate
Covid 19 certificate
Barua ya mualiko
NB.Baadhi ya passport zitahitaji uwe na visa
call,sm,whatsapp +255759399805
 
Hapa ndio uwazi unahitajika, kama kondakta au dereva anamsaidia mtu documentation kugongewa entry ya kuingia South Africa mseme mapema ni shilling ngapi?

Najuwa vizuri nilichokiandika.
 
Rand 3,000. Hiyo alama ya /= inawakilisha shilingi so usiiweke unapoandika currency nyingine zaidi ya shilingi.
 
Life kwer lina change 2012 nilienda south kupitia zimbabwe nilitumia laki na 20.zimbabwe to south nilitumia 60 jumla laki 80 mbaka jozi leo laki 4 aaaah nitaenda kwa ndege safar ijayo
 
Life kwer lina change 2012 nilienda south kupitia zimbabwe nilitumia laki na 20.zimbabwe to south nilitumia 60 jumla laki 80 mbaka jozi leo laki 4 aaaah nitaenda kwa ndege safar ijayo
Kwanza sijaelewa visa ya nn kwa sis wa bongo?
 
Kilimanjaro express ratiba ya tarehe 08/01
 
Hapo ni kwamba chuma ya 05:00am inageuka 1300 hrs (01:00pm).06:00am inageuka 1800hrs Bumper to bumper
 
Ana mwendo mzuri. Na madereva na makondakta nadhan wanafunzwa vizur

Dereva akipigwa cheti kwa uzembe wa speed au Ku overtake analipa fine mwenyewe.

Ataulizwa tu alikuwa anakimbilia wapi? Hivyo madereva wako makini kulinda salary yao. Kosa dogo tu Ila anakatwa mshahara. Hiyo imewajengea nidhamu sana madereva wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…