Mkombe Luxury bus

Dereva akipigwa cheti kwa uzembe wa speed au Ku overtake analipa fine mwenyewe.

Ataulizwa tu alikuwa anakimbilia wapi? Hivyo madereva wako makini kulinda salary yao. Kosa dogo tu Ila anakatwa mshahara. Hiyo imewajengea nidhamu sana madereva wake.
Mchaga hataki kupoteza hela kizembe. Ila I'm sure kawapoza wazee waliomfungia
 
Kama mdau ukikosa
Kaa kwenye Mkangavu,DHY hizo,DMH na EAU Tu zilizobaki ni Mikusi Guruguja๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Basi zilizobaki ndio zilileta shida ya kufungiwa.

Hovyo
 
Mchaga hataki kupoteza hela kizembe. Ila I'm sure kawapoza wazee waliomfungia

Inawezekana labda wamefanya hivyo..
Ila ni muda Sasa wa kufanya reforms kwenye hizi mamlaka zetu za UDHIBITI.

Hizo mamlaka zinakuwa ni za udhibiti kweli Kweli, mbona hakuna mamlaka Za kukuza au kuendeleza huduma?! Mamlaka zimekaa kufisha na kuua tu biashara na huduma za watu.

Mindset zimekaa kudhibiti dhibiti tu na kukomoa.. Namna hiyo mazingira ya Rushwa hayawezi kuisha au kukwepeka.
 
Timing ya kumfungia huyu mwamba ilimlazimu "ajiongeze" January hii ndo biashara ya Usafirishaji inachanganya Hasa watoto wanavyofungua shule. Angepishana na hela
 
Sio kazi ya serikali kukuza na kuendeleza biashara za watu binafsi.
 
Sio kazi ya serikali kukuza na kuendeleza biashara za watu binafsi.
Serikali ina wajibu wa kutengeneza sera rafiki na kuweka mazingira wezeshi ili kukuza biashara na sekta binafsi katika dhana nzima ya kukuza uchumi na kuongeza makusanyo.

Huwezi kukamua Ng'ombe ambae haujamtunza vizuri.. Utaambulia maziwa kiduchu kama sio mateke.
 
Fanyeni usafi na service za uhakika vinginevyo mtabakia kuwa last opt tunapokosa kbs magar mengne mazur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ