GABRAISON5
JF-Expert Member
- May 13, 2013
- 208
- 44
Leo ni tar 14 ya mwez wa kumi kwa unafiki wa wanasiasa wa ccm wakaamua kuifanya siku ya leo kuwa kumbukizi ya kifo cha baba wa taifa hili yaan nyerere day yapo mengi yamesemwa yapo mengi yameandikwa juu yake lakini kwa ufupi naweza sema ni mkomunist aliefia ubepalini je wewe unamtazamaje mwl nyerere?nawasilisha