FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Tanzania imepitiwa na mkongo wa kimataifa wa mawasiliano uliopita chini ya bahari, na kwa ufuatiliaji mdogo nilioufanya juu ya gharama halisi za uendeshaji na utunzaji wa mradi husika (running & Maintanance) , GB 1 ya data ingepaswa tuuziwe kwa shs.100/= , na hapa bado wangepata faida kubwa sana.
Sasa kitu ambacho sielewi ni hewsabu gani ambazo zinatumika kiwachaji waTz shs. 2,000/= kwa GB1 ambayo na karibu mara 20 ya reasonable price?
Mimi nashauri makampuni ya simu yakae chini yaone ni namna gani nasi GB1 ya data tunaweza kuipata kwa angalau 500/=, hii itachochea sana uchumi katika nyanja mbali mbali za mawasialiano na multiplier effect kwenye nyanja zote za uchumi.