Mkong'oto unapodhaniwa kuwa ishara ya mapenzi....

kwanza kumpiga mtu si dawa zaidi unamkomaza tu na kumuharibu kisaikolojia
 
kwanza kumpiga mtu si dawa zaidi unamkomaza tu na kumuharibu kisaikolojia

Kipondo kinaongeza chachu ya penzi na pendo linashamili mara dufu na mwenza wako anatambua kuwa unampenda ndo maana ukamshushia kipigo kikubwa zaidi heshima ndani ya nyumba ina rudi na amani inatawala.
 
Nilibahatika kuwa na marafiki wengi ma-dem, wanakwambia kabisa kuwa kitu kinachowafanya kuendelea kuwa na jamaa ni DIK DIK tuu. Unless unachunwa kama buzi.
 
Ukiangalia historia ya wapigaji..huwa hawaachi na pia hawaachwi! Sijui inakuwaje.
Wapigaji wengi hujua kujikomba na kubembeleza na kuwapumbaza wahusika kiasi cha kuamini hawatarudia tena.

Mara nyingi wapigaji huwa ni watu wa kujiexpress mno na wana emotion za nguvu, kwa hiyo wakichukia no soo na wakifurahi ni soo na wakiwa kwenye kilimo kwanza pia huwa soo; its a "see-saw" stuff, always ecstatic!!! Lakini kiukweli kupiga ni ugonjwa na unaanzia kwenye malezi ya mtu

Nalinganisha wanaume wanaopiga wake zao na wanawake wanaowashautia wanaume zao hovyo hata mbele za watu----ITS A DISEASE THAT NEEDS TREATMENT
 

Domestic violence has two faces, the more prominent one is ukandamizaji kwa mwanamke kutoka kwa jibaba jahili (in a few cases wanawake wanaotandika waume zao); the second one ambayo huwa mara nyingi haizungumziwi ni provocation!!! na hapa ndio paugumu kupadiskasi
 

Hawa lazima wana damu ya kikurya
 
Nasikia wenzetu wakurya watu wa Mara ndio jadi yao kudundana,Yani mama asipopigwa anaona kama hapendwi vile! Anatafuta ugomvi mpaka apigwe!
 
Ukikulia kwenye familia ambayo baba yako alikuwa anmnyanyasa mama yako sana kumpiga kumfungia nje na kumnyang'anya hata fedha alizoko nazo na kwenda kunywa na wanawake wengine ndio utaona umuhimu wa kuheshimu mwanamke.

kuna mtu aliwahi kusema............

"A Woman"

"Be very careful if you make a woman cry,

because God counts her tears.
The woman came out of a man's rib.
Not from his feet to be walked on.
Not from his head to be superior,

but from the side to be equal.
Under the arm to be protected,

and next to the heart to be loved."
 

Nguli leo umenene na huyo mtu aliyesema hayo maneno alikuwa na akili sana
 
usiseme hivyo kwani hata kama hukuwahi kufikiria kumpiga mpenzi wako kuna baadhi ya mambo yanaudhi na yanaweza kukulazimisha tu kuchukua hatua ya chriss.
 
usiseme hivyo kwani hata kama hukuwahi kufikiria kumpiga mpenzi wako kuna baadhi ya mambo yanaudhi na yanaweza kukulazimisha tu kuchukua hatua ya chriss.

Sika;

Umeshawahi kumchapa mwenzi wako? if yes how did you feel after that?? Let me tell you my friend, its the most deressing things kama unajiangalia while your partner is crying [hata kama hukumuumiza, kibao tu ni soo].

Mwenzio huwa nawasha gari, naenda pub, napata kaliiii nikirudi hoi nalala mapaka morning... HII PIA SIO NZURI SANA, lakini inapunguza matatizo, kumbuka kwamba hata siku moja huwezi ku-argue na mwanamke ukashinda mazee
 

MTM pls usiwe unampiga mwenzio hiyo kitu haisaidii kabisa na ni mambo ya kizamani sana ..mwanamke hapigwi kwa magumi na mateke
Hivi siku ukimpiga bahati mbaya ukamtoa jicho ama ukavuruga reception yake utajisikiaje ???
sawa eeeh nadhani tumeelewana
 
MTM pls usiwe unampiga mwenzio hiyo kitu haisaidii kabisa na ni mambo ya kizamani sana ..mwanamke hapigwi kwa magumi na mateke
Hivi siku ukimpiga bahati mbaya ukamtoa jicho ama ukavuruga reception yake utajisikiaje ???
sawa eeeh nadhani tumeelewana

FL, hujaelewa post yangu; soma vizuri mama utajua kama nimempiga au lah... (hakuna niliposema nimempiga, maelezo yangu yako tosha kabisa kwamba mie huwasha gari, naoenda pub nakunywa makaliiii hadi narudi hom hoi... kesho yake ni siku mpya hasa baada ya kupata cha asubuhi mahali ambapo si kitandani!!
 

asante sana shemeji nimekuelewa vyema zaidi
kamata 5 hapo
 
kuna frnd wangu jaamni huyo mumewe cjui ni kitu gani, akirudi home amelewa kipigo kinaanzishwa, mie namuulizaga hivi mnaanzagaje ugomvi mpaka anakukung'uta hivi? ananiambia hata akija akimkuta mke amelala atamcngizia uongo labda wewe unatembea na rafiki yangu mara hiki mara kile na asubuhi ndio wa kwanza kumwomba mkewe msamaha mpaka analia anacngizia ni pombe, mie namuuliza hizo kumbukumbu anapataje kama hiyo pombe ilimfanya afanye hayo na kumbukumbu inamgea pia?..ataliaa weee wanasameheana, kesho yake mambo ni hayo hayo....uwiii.
 

Jamaa anaumwa huyo mpelekeni kwa dokta...
 
Jamaa anaumwa huyo mpelekeni kwa dokta...

sema tu mapenzi ya watu hayaingiliwi, mana namuulizaga tu ataendelea kuishi hivyo mpaka kifo kiwatengaanishe au, anasema anaenda kwenye maombi kwa Mwakasege ana imani cku moja atabadilika.....naishia kumpeleka hosp namrudisha kwake ajiuguze.
 

haki huyo wa kumpeleka mahakamani kama c-brown sio bure
 
sema tu mapenzi ya watu hayaingiliwi, mana namuulizaga tu ataendelea kuishi hivyo mpaka kifo kiwatengaanishe au, anasema anaenda kwenye maombi kwa Mwakasege ana imani cku moja atabadilika.....naishia kumpeleka hosp namrudisha kwake ajiuguze.

haya basi, mwambie atuombee na sisi wote, tukuombee wewe ili umuombee yeye afunguke na kugundua kwamba kukaa na kumuombea muuaji wa nafsi ni sawa na kusubiri amalize kuua... mafundisho yanasema hata kukalia kimya uovu ni uovu pia

mpelekeni pale muhimbili prychiatric unit jamani apate dawa huyo jamaa... maana kama ni mapepo kwa dua za mwakasege angeshapona

Duh...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…