Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
Ubungo2,kuna ubaya gani? na ninyi mnaosema mkono anarudi kwao, au ninyi mnaosemaga watz wengine sio raia, naomba mjue kuwa, tukianza hivyo, hapa tz raia ni wachache sana,nao ni wagogo, watu wa singida, shinyanga na iringa labda. lakini watu woote wa mipakani ukianzia mbeya, ruvuma, mara,tanga, arusha etc, mtawaita sio watz. pia, angalia wangoni waliovuka toka south africa. cha maana, mtu yoyote aliyezaliwa tz ni mtz. period.