Mkono kutetemeka na kushindwa hata kuandika

Mkono kutetemeka na kushindwa hata kuandika

Darlis2016

Member
Joined
Nov 3, 2016
Posts
81
Reaction score
26
Habari wana Jamvi,,, naomba kujua mkono kutetemeka na kuna wakati kushindwa hata kushindwa kuandika ni dalili za ugonjwa gani au ni ugonjwa gani? Na tiba yake ni nini?? Naomba msaada wenu wataalam.
 
Hali hiyo ya kutetemeka umekuwa nayo kwa muda gani?

Na umri wako ni miaka mingapi?
 
Naomba wataalam mnisaidie, sio kwamba huu mkono unatetemeka muda wote ni pale ninaposhika kalamu kuandika unakuwa kama unakufa ganzi na kushindwa kuandika.
 
Habari wana Jamvi,,, naomba kujua mkono kutetemeka na kuna wakati kushindwa hata kushindwa kuandika ni dalili za ugonjwa gani au ni ugonjwa gani? Na tiba yake ni nini?? Naomba msaada wenu wataalam.
Habari ndugu, vipi ulipata suluhisho la tatizo lako? Maana naona km tatizo hili linafanana Kwa karibu na la kwangu. Nami nimepoteza uwezo wa kuandika kabisa. Yani vidole haviwezi kushika Kalam na kutengeneza herufi. Nimekwisha kwenda hospitali km bugando na Benjamin but sijapata nafuu
 
Back
Top Bottom