Mkono mkali wa chumvi na mafuta!

Mkono mkali wa chumvi na mafuta!

Brainy Chick

Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
64
Reaction score
21
Habari wadau!

Mwenzenu nina tatizo moja,kila ninapopika! Nifanye nfanyavyo mafuta au chumvi kitazidi.Naombeni ushauri ili nipunguze tatizo hili katika zama hizi za lifestyle diseases.
 
Tumia kipimo mf. kijiko cha chai. Usimimimine tu, itakuwa rahisi kujua next time uongeze au upunguze kwa kiasi gani.
 
Back
Top Bottom