Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
MKONO WA BURIANI WA MAMA SYKES KWANGU
Hii picha nimepiga na mama Bi. Zainab Sykes tarehe 12 January 2021 nyumbani Mbezi.
Lupwelo,Jitahidi uitembelee na familia ya shujaa John Okelo
Nnangale,kaka mkubwa pole sana kwa kuindokewa na mama,Mungu amfanyie wepesi huko aliko.