Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,375
- 6,958
Ni kweli MwM
Ila nimekwenda hospitali mbali mbali nimepima mpaka kipimo cha ECHO, fullblood picture lakini hakuna kilichogundulika. Nisaidieni nikapime nini hasa?
My God, jamani haya yote yanapelekea kuumwa mkono wa kushoto kuanzia begani? Msinitishe sana WanduguLabda una pressure au pafu limejaa maji ndugu yangu.....nenda hospital
Asante Mkuu, nitaendaUnaweza kwenda Shikilango Maeneo ya Legho hotel kwa Dk wa mitishamba(siyo mpiga ramli) tiba za mimea anaitwa Samson Kibona 0754464525, amesaidia wengi wenye shida zilizoshindikana.