Mkono wa piston 1tr

Mkono wa piston 1tr

kaliwonela

Member
Joined
Mar 14, 2018
Posts
18
Reaction score
17
Msaada natafuta mkono wa piston engine ya 1TR-FE. kama kuna mtu anao. gari ni hiace. Model ni TC-TRH122k-ERMDK

Asante
 
Msaada natafuta mkono wa piston engine ya 1TR-FE. kama kuna mtu anao. gari ni hiace. Model ni TC-TRH122k-ERMDK

Asante
Mkuu kma uko dar ungejaribu kuhangaika tu maduka ya gerezani unaweza ukapta.
 
Back
Top Bottom