ummu kulthum
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 2,784
- 1,317
Wataalamu wanaita GANGLION, hata mimi ninalo hilo tatizo na nimeshaonana na marafiki zangu madaktari mara kadhaa wanasema hamna tatizo lolote lakini kama ni kero kwako pia kuna surgery ya kuliondoa lakini kwa baadhi ya watu hata ukiliondoa baada ya muda linarudia tena. Kwangu mimi uvimbe huo ni mdogo sana na si kero kwangu so maisha yanakwenda tu poa.
asante rafiki ila changu ni kikubwa kidogo kama unafahamu matunda ya porini yana itwa sasati au lande ndio ukubwa wake nimepiga na picha ila nipo na ka mchina nashidwa kuweka humu