Mkopo akiba Saccoss

Mkopo akiba Saccoss

Epu

Member
Joined
May 2, 2012
Posts
6
Reaction score
1
Habari wana Forum

katika pitapita zangu nimekutana na kitu kinaitwa Akiba saccoss, wanajieleza kuwa wanatoa mikopo ya haraka...sasa wana Forum ebu ingieni link hii chini muwasome na mniambie hii kitu ni kweli au sio. na kuna alopata msaada kupitia huduma hii?

Wapka.mobi

Asanteni
 
go physically to their offices for clarification
 
hawa ni wezi.....wale waleeeee!
-wapi address yao?
-wapi contacts zao?

Kaeni mbali na hawa matapeli!
 
Back
Top Bottom