E Epu Member Joined May 2, 2012 Posts 6 Reaction score 1 Aug 29, 2013 #1 Habari wana Forum katika pitapita zangu nimekutana na kitu kinaitwa Akiba saccoss, wanajieleza kuwa wanatoa mikopo ya haraka...sasa wana Forum ebu ingieni link hii chini muwasome na mniambie hii kitu ni kweli au sio. na kuna alopata msaada kupitia huduma hii? Wapka.mobi Asanteni
Habari wana Forum katika pitapita zangu nimekutana na kitu kinaitwa Akiba saccoss, wanajieleza kuwa wanatoa mikopo ya haraka...sasa wana Forum ebu ingieni link hii chini muwasome na mniambie hii kitu ni kweli au sio. na kuna alopata msaada kupitia huduma hii? Wapka.mobi Asanteni
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,566 Aug 29, 2013 #2 go physically to their offices for clarification
K K.Msese JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 2,386 Reaction score 3,024 Aug 29, 2013 #3 hawa ni wezi.....wale waleeeee! -wapi address yao? -wapi contacts zao? Kaeni mbali na hawa matapeli!
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,890 Reaction score 2,795 Aug 30, 2013 #4 mi sijasoma so no comment
M Malunde-Malundi JF-Expert Member Joined Jan 10, 2008 Posts 1,288 Reaction score 131 Aug 31, 2013 #5 Wahuji
A allysultani Member Joined Dec 11, 2012 Posts 46 Reaction score 3 Sep 6, 2013 #6 Cna cha kuweka rehani kwenye hasasi za mikopo