Shamba limepimwa pia linahatiWakuu, nina shamba kama ekari 100 za miti mfundi yenye miaka 10, nataka nitumie shamba hili kupata mkopo bank kwa ajili ya biashara.
Naomba kujua ni bank gani inaweza kukopesha kwa dhamana ya shamba?
Pili ni taratibu zipi zinatumika hadi kupata mkopo kwa kutumia shamba?
Asante
Mkuu shamba lako umepima na kupata hati?Wakuu, nina shamba kama ekari 100 za miti mfundi yenye miaka 10, nataka nitumie shamba hili kupata mkopo bank kwa ajili ya biashara.
Naomba kujua ni bank gani inaweza kukopesha kwa dhamana ya shamba?
Pili ni taratibu zipi zinatumika hadi kupata mkopo kwa kutumia shamba?
Asante
Miti inamiaka kumi kwanini usivune hata heka kumi badala ya kuchukua mkopo? Maana mie nasikia wanaanza kuvuna kuanzia miaka Saba ama?asante sana mkuu kwa ushauri