Mkopo benki ya CRDB unachukua muda gani kupata?

Ginhgi

Member
Joined
Dec 23, 2018
Posts
6
Reaction score
6
habar za mapumziko ya wikendi bandgu,,, napenda kujuzwa kwa watumishi wa serikali waliowahi mkopa crdb siku za karbuni inachukua hadi siku ngapi hadi kuwekewa mkopo tokea siku nmemamalza process zote ,, maana kwa upande wangu nmeomba tawi la hapa mwanza lakin wiki ya pili inaisha sijawekewa bado ila wao walisema baada ya wiki tu,, wenye uzoea wanijuze
 
CRDB moja ya bank zinazozingua kabisa katika suala la mikopo, mosi wanahitaji attachment kibao mara Barua ya maombi, sijui rubber stamp, uende kwa wakili, na vidude kibao yani kama unatatizo la fasta waweza kufa.M nlichukua form yao ikabdi niishie mitini but nlipoenda NMB within two days mzigo ukasoma na hakuna kuhangaika snaa. CRDB mjirekebishe mikopo yenu tunaihitaj sna ila mna vidude vingi sna vya ajabu ajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wiki mbili tu unachukua mzigo, juzi kuna jamaa wangu ofisini amelamba 10million ndani ya wiki mbili tu.
 
Siku hizi mzigo ndani ya wiki unaingia,hakuna kuchelewa kama zamani
 
hawa jamaa wasumbufu kweli hakuna benk 0 kamahii
 
Vigezo vya CRDB kuchukua mkopo ni vipi?
 
Bora wewe wiki ya pili haujachukua, mm nilikutana na afisa mikopo mpenda rushwa alikua nae anataka nimganjie kiasi kidogo cha fedha, alinichelewesha zaidi ya mwezi mmoja, mbaya zaidi wilaya niliyopo hakuna crdb hivyo nilikua nalazimika kusafiri Mara kwa Mara kufuatilia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku nyingine achana na Mwanza branch nenda Rocky city branch pale fasta ukikidhi vigezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…