Jumbe Adarusi
Senior Member
- Oct 18, 2012
- 105
- 78
Duh nenda bank za kiislam Ila hata hizo bank za kiislam hamuiti riba ila ni kitu Kile kile Hakuna mkopo wa bila faidahabari zenu ndugu, naomba kwa anaejua, je ni benk au taasisi gani ya kifedha inayotoa mkopo bila ya riba.. Mungu atuongoze