Mkopo binafsi (personal loan) kwa dhamana ya nyumba isiyo na hati

Ungejisogeza benki iliyo jirani nawe ili upate ufafanuzi zaidi.
 
Reactions: BAK
Hati ndio uthibitisho wamwa umiliki mkuu nadhani unalijua Hilo. Hiyo nyumba hata kuuzika haiuziki sembuse mkopo?
 
Uthibitisho wa Kiongozi wa serikali ya mtaa inatosha kuwa uthibitisho wa kuchukulia mkopo.
 
Haiwezekani Mkuu watahakikishaje hiyo ni nyumba yako Mkuu na siyo ya BAK? Tafuta tittle deed kama itawezekana.


 

Kama uko na offer unaweza kwenda benki chukua mkopo ila kiasi utakachopewa hakitozidi mill 30 ila ukipata hati kuanzia 50mill mpaka unapotaka ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…