Mkopo Branch au Tala

Mkuu mi wananipigia simu kila siku na vitisho Kama vyote
Mi wakinipigia huwa nawaambia wanielekeze namna ya kulipa, akikata simu tu namsindikiza na bonge la msonyo halaf silipi
 
Mi wakinipigia huwa nawaambia wanielekeze namna ya kulipa, akikata simu tu namsindikiza na bonge la msonyo halaf silipi
Hivi vile vitisho ni kweli au wanazingua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…