Jamaan kuna aliyepata mkop?kama vp niangalizie namimi s0471/0152/2005
kaka nimejalibu kukuangalizia wakaniandikia kuwa mwenye namba hiyo haja secure loan for 2013/2014 sijajua wanamaana gani bro.
Mkuu upo iyo course??kw maana iyo umechaguliwa st joseph ya songea..naomba untumie barua yao iyo maelezo ya msingi ya kuhusu chuo hiko n mm nko iyoiyo course kk..ahsante