Mkopo hauwi deni hadi unapoiva na kushindwa kulipika. Magufuli hajaacha madeni, ameacha miradi mikubwa. Tukishindwa kulipa ni sisi, si yeye!

Kama huna background ya fani za Finance, Banking, Economics au Business Administration huwezi elewa Magufuli aliharibu kiasi gani!!

Ila kwa kuwa wewe johnthebaptist ni mwanasiasa by profession, endelea kupiga siasa
Acha unafki wewe... kwenye hayo mengine msemeni tu mzee lakini kuhusu kuijenga nchi, mzee kaijengà tena sio kidogo... sijui watu mna shida kushindwa kuyakubali mafanikio ya wengine. Acheni roho mbaya na za kishetani... nmechefukwa na maneno yako...

Haihitaji elimu hata ya chekechea kujua Hayati JPM kafanya nn kwenye nchi hii. He was the Hero... ni yeye pekee ambaye kwa sababu yake watanzania tulitembea kifua mbele. NI YEYEYEYEYEYYEYE TUUUUU.... HAKUNA MWINGINE. Tujifunze kuwaheshimu viongozi wetu kwa mazuri yao...

Hata mama kuna vitu anavifanya, labda tumpe muda zaid nayy tutaelewa sera zake ingawa bado safari anayo ni ndefu na amezungukwa na watu wenye tamaa ya pesa na madaraka... tumwombee
 
Freiston Usitulazimishe sisi tunaomlalamikia, wewe endelea kumsifia kwa vile Chato kawajengea Airport, TRA, CRDB, Hospitali ya Rufaa na mbuga ya Burigi.

Tuache sisi wenye machungu naye tuendelee kumnanga yule SHETANI. Kila mtu ashinde mechi zake, mbona rahisi tu
 
Hujawahi kopa wewe kwa hiyo kaa kimya kama mtu anayenyolewa.
Ukikopa benki unapewa grace period ya kuanza kulipa.
Grace period maana mkopo ni deni from day 1 ukishapewa.
 
Mliozoea kula vya kunyonga ndo shida yenu.... msalimie shemeji ako akitoka kazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…