Mkopo HESLB

Bryan09

Senior Member
Joined
Dec 11, 2013
Posts
162
Reaction score
32
jamani hv kwa waliomaliza form IV ambayo wameapply ordinary diploma ya clinical medicine wanaweza kupata mkopo?
 
Ingekuwa bachelor ungepata , Mkopo kwenye level zingine wanatoa Diploma in Primary na in sekondari kama VIP nenda education kama huna uwezo Wa kujisomesha
 
jamani hv kwa waliomaliza form IV ambayo wameapply ordinary diploma ya clinical medicine wanaweza kupata mkopo?

Nduguu uwagee unafatiliaa vituu tangiaa linii ushawahii fuatilia kwamba diploma za afya wanatoa mkopo sema kunaunafuu kwa vyuo vya government nasivinginevyo kuanzia ada chakula na maradhi so its bou your choice
 
ivi na mm naomben kujua, nilimaza form six mwakajana sikupata mkopo , nikashindwa kwenda kuripot , je sasa iv nataka niombe tena mkopo anae jua utaratbu tafadhari nao anijulishee kwakeli......
 
mbona bado mapema, we ingia mtandaoni utakuta maelekezo yote on how to apply( olas)
 
mbona bado mapema, we ingia mtandaoni utakuta maelekezo yote on how to apply( olas)
ok... nishapitia olas , nilikua nataka nipatee idea kidgo nisije nikakosea , nikapata mwaka mwingne kua mtaani...
 
ok... nishapitia olas , nilikua nataka nipatee idea kidgo nisije nikakosea , nikapata mwaka mwingne kua mtaani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…