Mkopo kuanzia 50,000/=...mpaka 1000,000/=

Mkopo kuanzia 50,000/=...mpaka 1000,000/=

mkuu

1000,000 ???? ..... hii figure ielewekeje ndugu yangu
 
hiyo ni milion moja yaani 1,000,000/= kuhusu riba piga namba zilizowekwa hapo juu, wapo watu watakujibu.mimi nimetoa taarifa tu,mkuu.
 
hiyo ni milion moja yaani 1,000,000/= kuhusu riba piga namba zilizowekwa hapo juu, wapo watu watakujibu.mimi nimetoa taarifa tu,mkuu.

mkuu

umeeleweka, je kama nahitaji 5M na dhamana ninayo inakuwaje
 
suala la dhamana au kama unataka kukopa zaidi ya 1,000,000/= wasiliana na wahusika kwa kupiga simu namba zilizowekwa hapo juu na majbu utapata.
 
Sasa hapo ndio unapotia shaka. Kwanini usu seme tu riba ni kiasi gani. Naelewa kuna benki zingine huwa wanaweka riba zao kutokana na mkopaji mwenyewe. kuna uaminifu zaidi basi riba ndigo, benki za ulaya hivyo, sasa sijui huko bongo. Lakini kiurahisi kama unafahamu kuhusu huo mkopo basi lazima utafahamu riba. approximately
 
Hii ni kweli jamaa anatoa .mkopo kweli ila utimize vigezo,mimi nilimpigia nikaonana naye, nimechukua mkopo wa TZS.500,000/=,nitarudisha Tzs.700,000/=. kuna jamaa amechukua TZS.1000,000/= atalipaTZS. 1400,000/=,jamaa anakopesha. hata 2m,3m na kuendelea ila utimize vigezo.

...Post ya Kwanza tu Unamuunga jamaa mkono kwamba tukakope?? Haya bhana...!!:A S confused::A S confused:
 
Ndugu mtanzania popote ulipo kama unahitaji mkopo kuanzia 50,000/= mpaka 1000,000/=.piga simu number zifuatazo.0654539416,0685644277,0755866398.uliza...Masunga.

vigezo na masharti.

1.Uwe na biashara inayoonekana
2.kama huitaji kwa ajili ya biashara basi uw na kazi(umeajiliwa)
3.Uwe tayari kutembelewa either nyumbani kwako au kazini kwako au kituo. chako cha biashara kwa uhakiki.

Piga hizo namba kwa swali na maelekezo mengine.

vigezo & masharti kuzingatiwa

Nyie ni matapeli tuu,,,
nimepiga simu no zote hazipatikani,,
 
Mi nafanya biashara ya mkaa,,nina lesseni, ninahitaji 1,300,000
 
Hii ni kweli jamaa anatoa .mkopo kweli ila utimize vigezo,mimi nilimpigia nikaonana naye, nimechukua mkopo wa TZS.500,000/=,nitarudisha Tzs.700,000/=. kuna jamaa amechukua TZS.1000,000/= atalipaTZS. 1400,000/=,jamaa anakopesha. hata 2m,3m na kuendelea ila utimize vigezo.
40 % Riba... inarejeshwa kwa muda gani mkuu?! ndio hiyo ya wale wa mwezi mmojamoja...kama ni hivo basi ni nikopo ya dharura na si biashara..
 
...Feedback tafadhali, Kuna aliyepata mkopo mpaka sasa??
 
Kwakuwa aliyekopa shilingi 500,000 atalipa shillingi 540,000 na aliyekopa 1,000,000 atalipa 1,400,000 basi inaonyesha riba ni asilimia 40%.

Lakini wakopaji wakieleza muda wa marejesho basi ndo tutajua ria hiyo ni ya mwaka au mwezi .
 
Back
Top Bottom