Mkopo kuanzia 50,000/=...mpaka 1000,000/=

Jamani mbona hamueleweki?ninahitaji huo mkopo,,
 
Post moja halafu ukatimka zako... Au ndio mkopeshaji?
 
Jamani number za kwanza sijapokelewa ila ile ya voda kapokea kisha imekatika
sasa nimetuma message mbona hajibu au kweli matapeli?
 
...Kuna Dogo wangu aliposoma hapa amehangaika sana na hizo namba. Mara zote hazipatikani, mara anaambiwa tutakuja kwako jumamosi, mara jumanne mpaka leo wiki ya Tatu hajapata lolote hata kuonana tu na hao Wakopeshaji. Nimemuambia aanze kushituka. Tufahamishane Wakuu, kuna yeyote ambaye ameishapata mkopo kutoka kwa Waheshimiwa hawa?? ...Na anayejibu asiwe na post 2 ama 3 tu, tutamshitukia...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…