M Michael snow Senior Member Joined Aug 31, 2013 Posts 102 Reaction score 12 Oct 31, 2014 #1 hivi inawezekana kukosa mkopo kwa mwaka wa pili kama ulihama course first year ?ila mwaka wa kwanza ulipata..
hivi inawezekana kukosa mkopo kwa mwaka wa pili kama ulihama course first year ?ila mwaka wa kwanza ulipata..
M Molembe JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 9,917 Reaction score 11,801 Oct 31, 2014 #2 Kamuulize loan officer wako.
M Michael snow Senior Member Joined Aug 31, 2013 Posts 102 Reaction score 12 Oct 31, 2014 Thread starter #4 tempus said: Hyo,haiwezekan Click to expand... sawa ngoja niendelee kusubiri
Ethical Ninja CEH JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 3,695 Reaction score 5,042 Oct 31, 2014 #5 Kwanini ulihama kozi? HESLB wana mambo yao, wanayajua wenyewe... huenda wanakutafutia sababu ya kukunyima Hao watu hawaaminiki Michael snow said: sawa ngoja niendelee kusubiri Click to expand...
Kwanini ulihama kozi? HESLB wana mambo yao, wanayajua wenyewe... huenda wanakutafutia sababu ya kukunyima Hao watu hawaaminiki Michael snow said: sawa ngoja niendelee kusubiri Click to expand...
Ethical Ninja CEH JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 3,695 Reaction score 5,042 Oct 31, 2014 #6 Kwanini? tempus said: Hyo,haiwezekan Click to expand...