Mkopo kwa dhamana iliyo nje ya nchi

Mkopo kwa dhamana iliyo nje ya nchi

Governor of Bettors-GB

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
10,568
Reaction score
9,710
Habari wakuu,

Kwa wadau wenye uelewa juu ya hili,
Kuna Jamaa anataka kujenga Private Villa moja hapa Zanzibar na atatumia kukodisha akiwa hayupo.

Alikuwa nataka kujua kama kuna Local Bank ambayo inaweza kumpa mkopo

a) Anamiliki nyumba Mbili South Africa,anaweza kutumia kama Collateral
b) Yupo tayari kutoa Bank Statement na flow Cash ipo vizuri
c) Kutoa property profile
Maana bank yake pale haitoi mkopo kwa kuwekeza nje ya Nchi yake, ndio maana akaulizia.

Je Bank ipi na kama inawezekana
 
Sidhani kama kwa sasa kuna benki inayokopesha hotel/real estate industry. Hata kwa hizo collateral nina mashaka. Biashara ya mahotel/real estate imedoda sana hapa Tanzania, ukiuliza wenye nazo wanatafuta wateja wa kuwauzia watakaoingia kichwa kichwa au kubadili matumizi.
The best way is to visit the banks to table your idea.
 
Zanzibar Spice bank statement zipo mtaani za kumwaga Johannesburg Nyumba na gari SA unanunua kwa kukopa kila mwezi unalupia kama kodi ila unaweza ukaipangisha inakulipa tuu maana ukilipa Cash kwa Nyumba unaulizwa umepata wapi hela zote labda sehemu ambazo bei ni za kawaida sio Sub burbs huko..,Na pia kuwa na Nyumba SA document zake hazikua sawa kule ni Raia huku pia ni Raia kwa hiyo kutakua na utata hapo..,Akope SA aje ajenge huku inawezekana na si akope huku kwa Asset za SA haiwezekani kabisa labda angekua mfanyabiashara mkubwa anakopesheka popote iwe Zambia,SA au Tanzania
 
Safi sana mkuu kwa ufafanuzi
Blessed
 
Back
Top Bottom