Zanzibar Spice bank statement zipo mtaani za kumwaga Johannesburg Nyumba na gari SA unanunua kwa kukopa kila mwezi unalupia kama kodi ila unaweza ukaipangisha inakulipa tuu maana ukilipa Cash kwa Nyumba unaulizwa umepata wapi hela zote labda sehemu ambazo bei ni za kawaida sio Sub burbs huko..,Na pia kuwa na Nyumba SA document zake hazikua sawa kule ni Raia huku pia ni Raia kwa hiyo kutakua na utata hapo..,Akope SA aje ajenge huku inawezekana na si akope huku kwa Asset za SA haiwezekani kabisa labda angekua mfanyabiashara mkubwa anakopesheka popote iwe Zambia,SA au Tanzania