Kuku wa Kabanga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2009 Posts 807 Reaction score 368 Jun 11, 2017 #1 Habari wakuu,nna shida ya 5m kuendeleza kamradi kangu,km kuna mtu anakopesha kwa riba niko tyr kutoa dhamana ya gari yangu.
Habari wakuu,nna shida ya 5m kuendeleza kamradi kangu,km kuna mtu anakopesha kwa riba niko tyr kutoa dhamana ya gari yangu.
Efendi JF-Expert Member Joined Aug 23, 2016 Posts 314 Reaction score 438 Jun 12, 2017 #2 Weka picha ya Gari tuione
G gmail mkulima Senior Member Joined Jun 11, 2017 Posts 186 Reaction score 114 Jun 12, 2017 #3 Mkuu bora uuze hiyo gari kuliko kuikopea kwa riba labda kama umeamua kumuachia sababu hutakaa uikomboe
Mkuu bora uuze hiyo gari kuliko kuikopea kwa riba labda kama umeamua kumuachia sababu hutakaa uikomboe
Mr Equalizer JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 611 Reaction score 727 Jun 12, 2017 #4 Kuku wa Kabanga said: Habari wakuu,nna shida ya 5m kuendeleza kamradi kangu,km kuna mtu anakopesha kwa riba niko tyr kutoa dhamana ya gari yangu. Click to expand... mkuu bora uiuze tu hiyo gari, kuliko kuingia kwenye mambo ya riba yatakuumiza bure.
Kuku wa Kabanga said: Habari wakuu,nna shida ya 5m kuendeleza kamradi kangu,km kuna mtu anakopesha kwa riba niko tyr kutoa dhamana ya gari yangu. Click to expand... mkuu bora uiuze tu hiyo gari, kuliko kuingia kwenye mambo ya riba yatakuumiza bure.