Mkopo kwa elimu ya juu

Mkopo kwa elimu ya juu

Adimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
661
Reaction score
297
Kuna mdogo wangu baada ya kukakilisha zoezi la kuomba mkopo na kutuma akagundua kua fomu yake ni yanafunzi wa nnje na yeye ni mwanafunzi wa ndani na bodi wakamwambia muda wa kulekebisha umeisha, Sasa nikaona niiilete apa jf kwa wale wenye kujua waeleze kama atakua na nafasi ya kupata au itakua tatizo!
 
Mkuu nakushauri uwe unahakiki/kuhariri mambo yako kabla ya kuweka hadharani.
 
Back
Top Bottom