Mkopo kwa non -priority programes

Mkopo kwa non -priority programes

jones justace

Member
Joined
Aug 25, 2014
Posts
22
Reaction score
0
wakuu naomba kujua kama kuna possibility ya kupata mkopo ikiwa umechaguliwa kusoma non -priority programe kwani mwenzenu ndo niliyo pewa na ilikuwa ya mwisho ktk selection zangu!
 
wakuu naomba kujua kama kuna possibility ya kupata mkopo ikiwa umechaguliwa kusoma non -priority programe kwani mwenzenu ndo niliyo pewa na ilikuwa ya mwisho ktk selection zangu!
unaweza soma non priority course na bado ukapata mkopo.kuna vigezo vitano vinavyozingatiwa na hawa jamaa ili mwanafunzi aidha kuweza kupata au kokosa ukiingia kwny web site yao utaviona.........BUT.....kwa kuwa non priority unaweza pata au kukosa lolote laweza kukutokea kati ya hayo mawili kama katika vile vigezo vyao vitano hujakidhi hata kimoja.
 
yah unapata ila uwe na vigezo vya kupata kupata mkopo
 
kuna uwezekano usiogope

Mboña wakuu mmekazania vigežo vigezo alafu hamViweki uchi :what::what::what::what:
Fungukeni...
 
Mkopo kwa non priority upo ila ni sawa na kamali ndugu
 
wakuu naomba kujua kama kuna possibility ya kupata mkopo ikiwa umechaguliwa kusoma non -priority programe kwani mwenzenu ndo niliyo pewa na ilikuwa ya mwisho ktk selection zangu!

uwezekano wa kupata mkopo upo although ni kwa asilimia chache yan YES na NO lolote linaweza kukuhusu! bt mwombe mungu atakusaidia na utapata mkopo
 
Mkopo kwa sisi ambao tumechaguliwa kwenye kozi zisizo na kipaumbele, kunazingatia sababu mbalimbali zikiwemo,
1. Kiasi cha fedha kilichotengwa na heslb,
2. Jumla ya kiasi cha fedha watakachotakiwa kupewa wenye priorities
3. Kiasi cha fedha kitakacho baki baada ya wenye priorities kuisha yaani kupata wote,
4. Ufaulu wako wewe uliyechaguliwa kwenye kozi isiyo na priority, cut point ni 4.5, hawa wakiisha ndo wenye point pungufu watachezewa PROBABILITY/ UNCERTAINTIES CALCULATIONS
zamani walikuwa wanazingatia family status but kwa sasa siyo simple kupata taarifa za familia zetu coz hakuna maelezo kwenye fomu tulizo jaza, nimehitimisha;
HIYO NI KULINGANA NA UFAHAMU WANGU NA SIYO UZOEFU
kwani death certificates za wazazi na kazi wanazofanya wazazi kama wapo hai cyo family status??? family status inazingatiwa sana hata mwaka huu.....kwa maelezo zaidi ingia kwenye account ya fb ya heslb wameeleza kinaga ubaga vigezo vyote.
 
mbona sijaviona fb
 
Kwa non priority programmes wanaangalia mambo mengi kama wenzangu waliotangulia kusema ila "means testing" ndo ina mata saana yaani hapo wanaangalia family status kwa kucheki shule ulizo soma na ada ulokuwa ukilipa kama ni private, kufiwa na wazaz, kaz za wazaz wako n.k
 
Broo kigezo cha kwanza muhimu sana o level na advance ulisoma private ama gvt? Ukishafuzu hichi kigezo uwezekani wa kupata at least 50% upo!! Gvt ni more priority than prvt!
 
DEATH CERTIFICATES siyo family status pekee kuna orphans wengi wenye uwezo wa kujilipia, nilimaanisha hali ya uchumi wa nyumbani kwa mwombaji, kuna orphans wenye uwezo wa kujilipoa na pia kuna watu wenye wazazi wote wawili wasioweza kujilipia that's why hicho siyo kigezo kikuu

utatima ni kigezo kikuu ndugu,usitake kubisha,mwisho mwaka jana waliokosa ambao walikua wanahangaika waliambiwa kama kuna yatima yyt hajapata mkopo basi ajitokeze,uyatima una matter sana,na ulemavu pia wa wazazi,
 
Broo kigezo cha kwanza muhimu sana o level na advance ulisoma private ama gvt? Ukishafuzu hichi kigezo uwezekani wa kupata at least 50% upo!! Gvt ni more priority than prvt!

kuna watu wamesoma feza boys kuanzia form1 hadi 6 na wanakula asilimia za kutosha
 
Mi kigezo cha kuwa kusoma private O level na Advance ndo ukose sio kweli make mi mwenyewe zangu zote ni Private ila mkopo wa kutosha so nadhani family status ndo inaangaliwa sana
 
Back
Top Bottom