Mkopo kwa non -priority programes

jones justace

Member
Joined
Aug 25, 2014
Posts
22
Reaction score
0
wakuu naomba kujua kama kuna possibility ya kupata mkopo ikiwa umechaguliwa kusoma non -priority programe kwani mwenzenu ndo niliyo pewa na ilikuwa ya mwisho ktk selection zangu!
 
wakuu naomba kujua kama kuna possibility ya kupata mkopo ikiwa umechaguliwa kusoma non -priority programe kwani mwenzenu ndo niliyo pewa na ilikuwa ya mwisho ktk selection zangu!
unaweza soma non priority course na bado ukapata mkopo.kuna vigezo vitano vinavyozingatiwa na hawa jamaa ili mwanafunzi aidha kuweza kupata au kokosa ukiingia kwny web site yao utaviona.........BUT.....kwa kuwa non priority unaweza pata au kukosa lolote laweza kukutokea kati ya hayo mawili kama katika vile vigezo vyao vitano hujakidhi hata kimoja.
 
yah unapata ila uwe na vigezo vya kupata kupata mkopo
 
yah unapata ila uwe na vigezo vya kupata kupata mkopo

kuna uwezekano usiogope

Mboña wakuu mmekazania vigežo vigezo alafu hamViweki uchi :what::what::what::what:
Fungukeni...
 
Mkopo kwa non priority upo ila ni sawa na kamali ndugu
 
wakuu naomba kujua kama kuna possibility ya kupata mkopo ikiwa umechaguliwa kusoma non -priority programe kwani mwenzenu ndo niliyo pewa na ilikuwa ya mwisho ktk selection zangu!

uwezekano wa kupata mkopo upo although ni kwa asilimia chache yan YES na NO lolote linaweza kukuhusu! bt mwombe mungu atakusaidia na utapata mkopo
 
kwani death certificates za wazazi na kazi wanazofanya wazazi kama wapo hai cyo family status??? family status inazingatiwa sana hata mwaka huu.....kwa maelezo zaidi ingia kwenye account ya fb ya heslb wameeleza kinaga ubaga vigezo vyote.
 
mbona sijaviona fb
 
Kwa non priority programmes wanaangalia mambo mengi kama wenzangu waliotangulia kusema ila "means testing" ndo ina mata saana yaani hapo wanaangalia family status kwa kucheki shule ulizo soma na ada ulokuwa ukilipa kama ni private, kufiwa na wazaz, kaz za wazaz wako n.k
 
Broo kigezo cha kwanza muhimu sana o level na advance ulisoma private ama gvt? Ukishafuzu hichi kigezo uwezekani wa kupata at least 50% upo!! Gvt ni more priority than prvt!
 
utatima ni kigezo kikuu ndugu,usitake kubisha,mwisho mwaka jana waliokosa ambao walikua wanahangaika waliambiwa kama kuna yatima yyt hajapata mkopo basi ajitokeze,uyatima una matter sana,na ulemavu pia wa wazazi,
 
Broo kigezo cha kwanza muhimu sana o level na advance ulisoma private ama gvt? Ukishafuzu hichi kigezo uwezekani wa kupata at least 50% upo!! Gvt ni more priority than prvt!

kuna watu wamesoma feza boys kuanzia form1 hadi 6 na wanakula asilimia za kutosha
 
Mi kigezo cha kuwa kusoma private O level na Advance ndo ukose sio kweli make mi mwenyewe zangu zote ni Private ila mkopo wa kutosha so nadhani family status ndo inaangaliwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…