Muddy105 New Member Joined Jul 16, 2023 Posts 3 Reaction score 2 Jul 17, 2023 #1 Kulinga na bajeti ya mwaka wa fedha 2023/2024 vyuo vya kati watapatiwa mikopo. Je, unawezaje kuapply au kupata mkopo kwa vyuo vyakati?
Kulinga na bajeti ya mwaka wa fedha 2023/2024 vyuo vya kati watapatiwa mikopo. Je, unawezaje kuapply au kupata mkopo kwa vyuo vyakati?
P Peribus Senior Member Joined Nov 28, 2021 Posts 101 Reaction score 177 Jul 17, 2023 #2 Hakuna mkopo, kijana😊
Mzee Saliboko JF-Expert Member Joined Jan 29, 2018 Posts 1,311 Reaction score 1,018 Jul 17, 2023 #3 Utapewa utaratibu
RealixT JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 1,547 Reaction score 2,751 Jul 17, 2023 #4 Hii Mpya, wanazungumzaga tu hvyo ila Hakuna ukweli wwte lbd round hii watoe mkopo huo
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 20,419 Reaction score 39,217 Jul 17, 2023 #5 Bado wanachakata,
K Kilanga komo JF-Expert Member Joined Aug 27, 2022 Posts 337 Reaction score 290 Jul 17, 2023 #6 Muddy105 said: Kulinga na bajeti ya mwaka wa fedha 2023/2024 vyuo vya kati watapatiwa mikopo. Je, unawezaje kuapply au kupata mkopo kwa vyuo vyakati? Click to expand... Siasa
Muddy105 said: Kulinga na bajeti ya mwaka wa fedha 2023/2024 vyuo vya kati watapatiwa mikopo. Je, unawezaje kuapply au kupata mkopo kwa vyuo vyakati? Click to expand... Siasa
Voice of Tanzania JF-Expert Member Joined Sep 23, 2018 Posts 2,036 Reaction score 3,107 Jul 18, 2023 #7 Sahau kuhusu Hilo mkopo kwa undergraduate tu usiwasikilize wanasiasa waongo hyo issues aijaanza kuongelewa mwaka huu tafuta pesa ukajilipie ada kama unataka kusoma
Sahau kuhusu Hilo mkopo kwa undergraduate tu usiwasikilize wanasiasa waongo hyo issues aijaanza kuongelewa mwaka huu tafuta pesa ukajilipie ada kama unataka kusoma