Mkopo kwa wanaosoma open University of Tanzania

Father of Daddy

New Member
Joined
Aug 29, 2014
Posts
4
Reaction score
0
Ndugu wanajamii forum naomba kufahamishwa kuhusu wanafunzi wanajiunga na chuo kikuu huria, je huwa wanafikiriwa kupata mkopo kutoka bodi ya mikopo kama vyuo vingine?
 
Asante ndg flyn rider maana nimemuuliza loan officer wa sua akaniambia ye hajui
 
Ndugu wanajamii forum naomba kufahamishwa kuhusu wanafunzi wanajiunga na chuo kikuu huria, je huwa wanafikiriwa kupata mkopo kutoka bodi ya mikopo kama vyuo vingine?

utapewa ada sh. 200,000 hadi 360,000! Hakuna meals and accomodation! Books and stationeries hutopata mpaka mwaka wa 3 wa masomo! Upo hapo?
 
Hata hiyo kidogo wanayotoa inaridhisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…