Majaribu2013
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 952
- 1,049
Mimi ni mbeba box wa kawaida ambaye kipato changu ni chakawaida, ninahitaji mkopo wa milion 35 halafu hizo milion 5 nampa aliyenifanikisha kupata hiyo loan. Kwa kazi yangu ya box naweza kuulipa ndani ya miaka 4 hadi 8, nikijumlisha na zali la biashara nitakayokuwa naifanya naweza kulilipa mapema zaidi.
Ukweli sina sifa kama wanazotaka bank, dhamana ya nyumba sijui biashara mimi sina. ila nina uhakika wa kulipa huo mkopo kama nilivyoeleza hapo juu.
Nani mtalaamu aniunganishie pande??? Tukipewa tu hata saivi hiyo milion 35 nakuhesabia hapohapo milion 5 zako unakwenda zako.
Nisaidieni.
#Majanga